Nahitaji mtu wa kuzaa naye

Nahitaji mtu wa kuzaa naye

BeautyQueen2017

New Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
2
Reaction score
13
HAbari zenu,

Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
 
Mi nipo tayari kukupa ujauzito tu nakulea mtt sitaki mke kama upo tayari ni PM
 
Mmmmhhh? Ok nimeelewa unazaa wanaku cash kwisha habari dah
 
Kweli uhuru wa kuongea!yeye kisayansi lakini kuna mwingine CHIPAPU Kwa SHEEDU,kweli uhuru wa kuongea,hongera sana
 
Weka picha yako kwanza... Usijejezaa mtungi wa maji burerr!!!
 
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
Naomba vigezo..kwani nipo tayari.
 
Back
Top Bottom