Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Habari zenu wako.
Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha hii.
Yeyote anaejua kuzungumza kwa ufasaha. Naomba a-comment neno "AM IN".. nami nitamrukia Pm kwa ajili ya mazungunzo zaidi.
Nahitaji msaada wako unitoe kwenye kudhani najua kimombo mpaka nijue kimombo kutokana na kuzungumza mara kwa mara.
Nawasilisha
financial services