Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

Habari zenu wako.

Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha hii.

Yeyote anaejua kuzungumza kwa ufasaha. Naomba a-comment neno "AM IN".. nami nitamrukia Pm kwa ajili ya mazungunzo zaidi.

Nahitaji msaada wako unitoe kwenye kudhani najua kimombo mpaka nijue kimombo kutokana na kuzungumza mara kwa mara.

Nawasilisha
financial services
I'm in
 
Hongera kwa kuchukua hatua mkuu,wanasema 'practice makes perfect' I'm also looking for someone to practice with... vipi sasa umeshaanza?
 
Hao wanao washauri ku-download app muongee na wazungu wa mamtoni mtatoka patupu. Wale accent na phonolojia yao ni balaa hadi uwe unajua basics zake.

Remember those Europeans do acquire English as their L1 not to learn as the L2 as tanzanians do.

Come close to me and enjoy BBC English. Ila uwe na pesa ya kueleweka sio kunichosha bure.
 
Unaongea Kiingereza kibovu kabisa ndungu (ungrammatical). Ebu nipeni hizo pesa niwanyooshe.

AM IN
I will take you up on your offer some day Sir.
It would have been ideal if you had left your contacts though, for easy reaching.
 
Back
Top Bottom