MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nimeamua nikupuuze kwasababu inaonekana ni mtu aliyekata tamaa.Acha utumwa MJINGA PIGA wewe 😂
Pesa ya nyoko! Kuna watu wanafanya kazi saloon ya kike wanafanyia wadada pedicure na manicure... elimu hawana zaidi ya huo ujuzi na wanapata rizq ya kila siku na mishahara ya laki saba na laki nane mwisho wa mwezi. Nenda Saloon classy kaulize. Fursa zipo acha utumwa!