Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

We sema tu yeow yeow Konde boi ko mi namba wani baarreesa

Taratibu utaanza kujua na maneno mengine kama No mara waa na kukohoa kizungu Koh koh
 
Hili ni tatizo la wengi hasa hapa Tanzania. Unaweza kuta andiko la mtu la kiingereza linavutia mpaka unajiuliza huyu mtu ni mTz kweli, kutana nae sasa mzungumze mwenyewe utachoka.

Watanzania wengi tunajua kiingereza cha kusoma na kusikiliza lakini sio cha kuwasiliana kwa kinywa.
Uzi ufungwe
 
A word of advise to you, avoid engaging with people that will be a hindrance to your attempt at bettering yourself in the language.

There are some people who by some malicious reasons opt to discourage others in an attempt to hide their own ignorance.

Though I'm not a qualified teacher, I minored in English Literature in my olden days so I should be able to assist/guide you. Should you require any help, I'd be delighted to assist you.

Best of luck on your journey.
Mkuu kama hutojali ni pm, maana kwangu inashindikana.
 
Well, how do we go about it!
I am not a good instructor though, am afraid.
May be you know what best you want.
Grammar? Vocabulary? Semantics?
I don"t even know your level of multilingualism!
Nakubali
 
Ahsante mkali adriz nakufuatilia kwa ukaribu
Pamoja sana ,kuna app moja nyingine nilijaribi nimeifuta coz wao wanakupa sentesi kisha unatamka wanakupa marks na kutoa marekebisho , unakuwa unapanda daraja kwa kila unavyofanya vizuri na kuletewa sentesi za kuchanganya zaidi , ili upate kifurushi zaidi cha live mpaka ulipie nikaona upuuzi nikaifuta.
 
Back
Top Bottom