Mimi kuanzia movies ,vitabu soft copy ,audio books,habari za ulimwengu,interviews za makocha na wachezaji ,documentary mpaka mawaidha huwa nafuatilia ya kingereza na naelewa vizuri mpaka najisahau kama mimi mbongo ila linapokuja swala la kuongea napapatika mno siwezi kuongea kama ninavyotaka.
Nimegundua cha kuongea kinahitaji mazaoezi mengi mno na watu wa kuzungumza nao mara kwa mara
maanaa cha kuandika ,kusoma na kusikikiza naweza kusema nipo complete 90% ila kuongea najiona nipo chini ya 50 kwa vile unaweza kupita hata miezi mitatu hata zaidi ya hapo nisipate mtu wa kupiga nae soga kimalkia.