Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Acha utumwa MJINGA PIGA wewe 😂Umefanya vyema. Ninawashauri hasa wale wasio na elimu ya kutosha angalau basi mjue kiingereza. Hii ni lugha ya hela. Ukikijua vizuri kina msaada sana.
Pesa ya nyoko! Kuna watu wanafanya kazi saloon ya kike wanafanyia wadada pedicure na manicure... elimu hawana zaidi ya huo ujuzi na wanapata rizq ya kila siku na mishahara ya laki saba na laki nane mwisho wa mwezi. Nenda Saloon classy kaulize. Fursa zipo acha utumwa!