Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
AM INHabari zenu wako.
Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha hii.
Yeyote anaejua kuzungumza kwa ufasaha. Naomba a-comment neno "AM IN".. nami nitamrukia Pm kwa ajili ya mazungunzo zaidi.
Nahitaji msaada wako unitoe kwenye kudhani najua kimombo mpaka nijue kimombo kutokana na kuzungumza mara kwa mara.
Nawasilisha
financial services
Nitajie hiyo app.Kuna language apps download mkuu utawapata huko wengi,wao wanatafuta wakupractise nae kiswahili so mtafanya language exchange
Kumbe upo vizuri kwenye kijispania senorita eeh?Ingekuwa Kispanish niko hapa...
Kidhungu nikuunganishe na mtoto wangu anatema mpaka anamwaga😄😄😄😄
Hili yai limechacha. Au wewe ni shilole nini?Even me looking for plactise someone.
If you also want me and you we make exercise.
Me i try plactise one day i talk like white peoplesHili yai limechacha. Au wewe ni shilole nini?
Tutafute tu katiba mpya kwa kweli. Hali ya watanzania ni mbaya Sana.Me i try plactise one day i talk like white peoples
Alooo... ni shidaa mpaka kinamwagika???Ingekuwa Kispanish niko hapa...
Kidhungu nikuunganishe na mtoto wangu anatema mpaka anamwaga😄😄😄😄
Slow slow i came alright one day.Tutafute tu katiba mpya kwa kweli. Hali ya watanzania ni mbaya Sana.
mimi nikajua ameandika AMIN kumbe ameandika AM IN dah hii lugha yenu bhanaAM IN
aaa wapi inategemea mazingira na kazi unayofanyaUmefanya vyema. Ninawashauri hasa wale wasio na elimu ya kutosha angalau basi mjue kiingereza. Hii ni lugha ya hela. Ukikijua vizuri kina msaada sana.