Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Utmost gratitude for the correction Sir.π= Usahihi ni huuπππ
"I'm looking for someone to practice with as well." "We can exercise together if you want."
π€£π€£π€£ Hapana bhana, House clup depends on how you use it, ina kila aina ya midahalo na ambayo hujawahi fikiria...Ilijua clubhouse ni ya chadema
I'm inHabari zenu wako.
Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha hii.
Yeyote anaejua kuzungumza kwa ufasaha. Naomba a-comment neno "AM IN".. nami nitamrukia Pm kwa ajili ya mazungunzo zaidi.
Nahitaji msaada wako unitoe kwenye kudhani najua kimombo mpaka nijue kimombo kutokana na kuzungumza mara kwa mara.
Nawasilisha
financial services
Unaongea Kiingereza kibovu kabisa ndungu (ungrammatical). Ebu nipeni hizo pesa niwanyooshe.Even me looking for plactise someone.
If you also want me and you we make exercise.
Hongera kwa kuchukua hatua mkuu,wanasema 'practice makes perfect' I'm also looking for someone to practice with... vipi sasa umeshaanza?Habari zenu wako.
Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha hii.
Yeyote anaejua kuzungumza kwa ufasaha. Naomba a-comment neno "AM IN".. nami nitamrukia Pm kwa ajili ya mazungunzo zaidi.
Nahitaji msaada wako unitoe kwenye kudhani najua kimombo mpaka nijue kimombo kutokana na kuzungumza mara kwa mara.
Nawasilisha
financial services
I will take you up on your offer some day Sir.Unaongea Kiingereza kibovu kabisa ndungu (ungrammatical). Ebu nipeni hizo pesa niwanyooshe.
AM IN
Worry not. Follow me dmI will take you up on your offer some day Sir.
It would have been ideal if you had left your contacts though, for easy reaching.