Nahitaji mume aliye serious na maisha

Nahitaji mume aliye serious na maisha

Kuna kitu nimekiona ktk huu Uzi.

Inaonekana wanawake wa kisukuma wanasoko sana koz sijaona kejeli za kila siku zinazotolewa ktk nyuzi km hizi. Watu wanauliza maswali ya msingi.

Kila la kheri mtoa mada najua huko pm ni mafuriko.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani nihatari nanusu [emoji23] [emoji848]
 
Kuna kitu nimekiona ktk huu Uzi.

Inaonekana wanawake wa kisukuma wanasoko sana koz sijaona kejeli za kila siku zinazotolewa ktk nyuzi km hizi. Watu wanauliza maswali ya msingi.

Kila la kheri mtoa mada najua huko pm ni mafuriko.
Bhasukuma totena shida gete,neyo tole bhachangamfu ndugu wane.
 
Am serious sitaki mdogo wako aje apate tabu wakati James nipo fanya hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijari boss unang'ombe lakini??? Maana kwetu wote weupeeeeee kazi nikwako[emoji23]
 
Ng'ombe wapo fanya hivyo. Naisubiri mpaka saa 12 jioni nikiona kimya ntajua imeshindikana. Arasiri njema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeamua kunivunja mbavu nahene have a nice day my friend
 
You still have a time to think it over...keep thinking then do something... PM iko wazi
 
Back
Top Bottom