Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

kiongozi ume lenga mule mule huyu miaka kweli kapunguza maana kama ana miaka 28 ange sema hata mwanaume wa kuanzia 30+
 
PM me
 
100% big up
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
picha please
 
Siku umeshaoa ndio unakuta mashine kama mfuko wa koti,breki pu.mbu..[emoji23][emoji23]
 
We utakua unajihusisha na "Unga'"wewe unataka wala unga wezako eti ksmataa huyu
 
Mrs fiancée na Miss natafuta . mwaweza kupata waume , if God wishes. Lakini kiukweli posts zenu tu hapa ni shiida esp. Miss natafuta. With that attitude!!! Mmmmh I doubt.

Wengi ambao wameolewa trust me walikua na good attitude kwa hao wenza wao. Hata kama wengine huwa wanapretend kabla ya ndoa. Ila lazima uonyeshe kujiheshimu. Hata kama umekaa na watu wanaoonyesha kutojiheshimu au kutokukuheshimu, ukijiheshimu baada ya mda na wao watakuheshimu tu. " Sijui mmenielewa"

Na kwa dada yangu mrs fiancée . change your account name kwanza. . . . lenyewe tu halikuuzi sana kupata huyo mme.

Pili ukipost tena usiweke vigezo na masharti, vya namna hiyo. Tangaza nia, toa extra details kwa wenye kuonyesha interest. Then watakao wasiliana na wewe ndio utaaanza chuja umri " kwa busara na kimya kimya". Hata hivyo umri si issue.Kama mtu ana nia. Na pia utawapa misimamo yako mingine kama hiyo ya kuto sex kabla ya ndoa. Atakaye kubali, atakubali. Japo mi naona mmh . . . hiko sio kigezo cha kumpata muoaji wa kweli. Sana sana utarise doubts kwa huyo mtu. Binadamu tuna asili ya kutaka kujua . tena hasa pale unapomkataza mtu kitu, ndio unamjengea hamu ya kutamani kujua zaidi. Hivyo kukataa sex kabla, kutamfanya ndio atake hasa.
Bora ukatae kwa kuzingua flan na kubembeleza but sio straight forward.

Kwa ufupi hilo tangazo " thread " yako umeikosea. Ni kama kutangaza product alafu ukaipromot kwa kutaja mapungufu yake kwanza .
Yaani unaitangaza kwa kuanza kutoa tahadhari kwamba service flani ni hadi mteja afikie premium levle og purchase" Tangaza tu product alafu mapungufu mengine ambayo mteja alitarajia kumbe hayawi provided kwa mda huo, mtacompromise.
Hiyo ndiyo markerting sio jinsi ulivyo anzisha.
Na wewe naamini ni shahidi kwamba umekosea maana umeona response ya thread ambavyo imekua.
Na huyo Miss Natafuta ndio kakuharibia kabisaaa. ( kama ni kweli huyo miss pia ni we mwenyewe basi umejiharibia).

Mawazo yangu tu. Nnayo yaamini.
 
Mwanamke alifikisha umri kama Huo Ndo Anaanza kujielewa.. Sijawah ona mwanamke akiwa na miaka 23 akitafta mme.. Videnti vya chuo vinaringa Sana Mara vinajifanya vizuri Kumbe hamna kitu.. Umri ukikimbia Ndio vinawaza Ndoa... Ushauri wadada badilikeni pindi mkianza umri wa kujielewa na Sio kushobokea masharobaro na kugawa papuchi ovyo kama pipi
 
Jamani tumuache dada wa watu atapata mtu wake anayemhitaji humu. Kila la heri.
Lakini kwa staili hii,na majibu yake haya, huyo mtu wake, yatakuwa yamemkuta! Huyu mwacheni amngoje mtu wake, kumbukeni 'WANAWAKE WAZURI WAZURI WAMEOLEWA'
 
Wanaume wanaoa bila kula papuchi kwanza ni wachache mno...binti angalia hicho kigezo ikiwezekana kifanyie marekebisho...ni ushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…