Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

Eti sihitaj kujihusisha na mapenz mpaka ndoa
Kuna watu mnaumwa
Yaan una shida na unatoka mashrti duuu
Anyway maoni yako so ni lazima tuyaheshimu
 
Kwani si nimeamua mwenyewe. Kwani wa mtaani sijawaona... Acha kiherehere.kama huna cha kusema pita tu
acha kiburi nikamua kwa mume wako n suala la maamuzi ya dakika chache tuu, tunayajenga mpenzi
 
Yani wengine umewapa wamekula weee hawajaoa halaf ambae anataka kuoa ndio anaambiwa asubiri....hehehehehe


Miaka 28 jua limekaribia magharibi....ww unayo kazi halali?!
Swali la muhm sana
A nataka MTU Mwenye kipato halali je yeye anacho?
 
Usilolijua
Sorry kama nimeongea kitu ambacho hakipo ila nlikuwa najaribu tu kuonyesha kuwa moyo wa mtu kiza kinene...ni ngumu kujua nani mwoaji na nani sio. Kwa hiyo kuoa hakuwezi kuwa sababu ya kupewa
 
Eti sihitaj kujihusisha na mapenz mpaka ndoa
Kuna watu mnaumwa
Yaan una shida na unatoka mashrti duuu
Anyway maoni yako so ni lazima tuyaheshimu
Ndo maana nimeweka hivyo. Nina misimamo yangu. Usinipangie
 
Hawa ndio wanakuwaga wametoa mimba za kutosha halaf anasema mchumba asile tunda mpk aoe unaenda kukuta mashine ina sugu
Mbaya zaid ananishangaza na majibu yake
T seems ana Bonge la atitude
Ngoja ale jeuri yake
 

kuitunza familia sio wawili kuitunza familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…