ejsemwaiko
Member
- Jul 3, 2016
- 20
- 4
Call me 0625657440
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti sihitaj kujihusisha na mapenz mpaka ndoaMimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.
Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]safi sana shikia hapo hapo bora usex na mtu baki sio mchumba
acha kiburi nikamua kwa mume wako n suala la maamuzi ya dakika chache tuu, tunayajenga mpenziKwani si nimeamua mwenyewe. Kwani wa mtaani sijawaona... Acha kiherehere.kama huna cha kusema pita tu
Usilolijua
Swali la muhm sanaYani wengine umewapa wamekula weee hawajaoa halaf ambae anataka kuoa ndio anaambiwa asubiri....hehehehehe
Miaka 28 jua limekaribia magharibi....ww unayo kazi halali?!
Majibu ya jeuri kama huna shida vile[emoji3]hujalazimishwa. Samahani lakini .
Hata hao waliokula alidhani waoaji ndio maana aliwapa
Sasa umekuja kufanya nn kama unataka kuzeekea kwenu?Bora nizeekee kwetu
Sorry kama nimeongea kitu ambacho hakipo ila nlikuwa najaribu tu kuonyesha kuwa moyo wa mtu kiza kinene...ni ngumu kujua nani mwoaji na nani sio. Kwa hiyo kuoa hakuwezi kuwa sababu ya kupewaUsilolijua
Eti sihitaj kujihusisha na mapenz mpaka ndoa
Kuna watu mnaumwa
Yaan una shida na unatoka mashrti duuu
Anyway maoni yako so ni lazima tuyaheshimu
Ndo maana nimeweka hivyo. Nina misimamo yangu. UsinipangieEti sihitaj kujihusisha na mapenz mpaka ndoa
Kuna watu mnaumwa
Yaan una shida na unatoka mashrti duuu
Anyway maoni yako so ni lazima tuyaheshimu
Mbaya zaid ananishangaza na majibu yakeHawa ndio wanakuwaga wametoa mimba za kutosha halaf anasema mchumba asile tunda mpk aoe unaenda kukuta mashine ina sugu
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.
Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
Upo mkoa ganNilishakuwa kwenye mahusiano. Na ndo mana nikaweka hivyo sihitaji sex kabla ya ndoa. Atakae kuwa tayari atakubaliana Nami
Hata MUNGU ananisikia ninanyokujibu hii thread yako. Nilitaka nisikujibu ila ngoja nikujibu. Sijawahi kutoa mimba na sitawahi. Kama ningeipata ningezaa tuHawa ndio wanakuwaga wametoa mimba za kutosha halaf anasema mchumba asile tunda mpk aoe unaenda kukuta mashine ina sugu
Nipo tayari ila sharti langu moja tu kama wewe ulivotoa masharti. Nitumie picha zako mbili tofauti inboxNdo maana nimeweka hivyo. Nina misimamo yangu. Usinipangie