Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

T unaenda mbali sana siku hz hakuna wanawake
Unataka mume wakat huna sifa za kua mke?
Atitude ni disqualification kubwa sana
Sidhan kama huyu Dada unamaanisha unachokisema
 
T unaenda mbali sana siku hz hakuna wanawake
Unataka mume wakat huna sifa za kua mke?
Atitude ni disqualification kubwa sana
Sidhan kama huyu Dada unamaanisha unachokisema
wakuoa utakuwa wewe? kipi alichoandika cha ajabu? tafuta wa kwako unaemtaka
 
mume hakimbii kunyimwa papuchi?
Yaani ni hivi, yeye anasema hataki kuguswa mpaka ndoa na ukiangalia saivi wanawake wengi wanalalamika kuwa hwafikishwi kileleni ni vizuri akimpata amjaribu kama anapiga mzigo vizuri ajiridhishe. Na hvyohvyo kwa mwanaume naye ajiridhishe kuwa hii papuchi poa ndo ajicomit kwenye ndoa
 
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa.
Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha. Nami ntakuwa tayari kuwa nae kwenye shida na raha. Awe anafanya kazi halali ya kumuingizia kipato cha kuitunza familia yake..
Awe na umri kuanzia miaka 35 _40. Na awe tayari kwenda kucheki afya kabla ya yote.
Na pia sihitaji kujihusisha katika mapenzi mpaka ndoa.

Naamini kutakuwa na mwanaume mwenye hitaji la kweli Kama langu. Tuwe wakweli ..Sichagui dini.. Asanteni..
Mume kamtafute kwenye nyumba za ibada halafu baada ya miaka kadhaa ya ndoa uje huku utuelezee raha na magumu unayoyapitia. Wanaume wa humu tuache tu kama tulivyo, wengi tumeshindikana. Wengine tunapenda kuchapia kwenye magari n.k
 
mmeanza lini kusimamisha hadi mumchape mtu kwenye gari?
 
Back
Top Bottom