Utapa mume dadaHabari wakuu,
Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia kipato.A
Kwa upande wangu mimi ni muajiriwa na jina miaka 34,mkristo,na nina mtoto mmoja.Napatikana Kusini magharibi mwa Tanzania.Mwenye uhitaji karibu sana Inbox.
Karibuni!
Sio mgeni jf, ni vazi jipya tuKila la heri
Karibu jf
Ukimkuta kwa I'd yake zoefu anavyoshambulia wanaume huwezi kudhani nae ana shida ya mumeSio mgeni jf, ni vazi jipya tu
Mimi hapa. Karibu pm pako waxiHabari wakuu,
Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia kipato.A
Kwa upande wangu mimi ni muajiriwa na jina miaka 34,mkristo,na nina mtoto mmoja.Napatikana Kusini magharibi mwa Tanzania.Mwenye uhitaji karibu sana Inbox.
Karibuni!
Hatuna ushahidi lkn mkuu, tusimharibie uzi, ameleta uzi kwa unyenyekevu sana😂Ukimkuta kwa I'd yake zoefu anavyoshambulia wanaume huwezi kudhani ana shida ya mume
Nyanda za juu....geographyKusini magharibi mwa Tanzania? Hii itakuwa zone mpya!
Mkristo ni mtu yeyote mwenye akili timamu na kwa kupenda kwake mwenyewe anaenda ndani ya majengo yaitwayo kanisa ama maeneo ya wazi kupeleka fedha ili akatangaze vivutio vya utalii na maeneo tengwa ya nchi mbalimbali za mashariki ya kati km Israel, Jordan,Iraq pia na nchi kadhaa za Ulaya kwa masirahi ya waandishi wa kitabu kilichopewa jina la biblia.Habari wakuu,
Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia kipato.A
Kwa upande wangu mimi ni muajiriwa na jina miaka 34,mkristo,na nina mtoto mmoja.Napatikana Kusini magharibi mwa Tanzania.Mwenye uhitaji karibu sana Inbox.
Karibuni!
NAKAZIA TOKA TABATAKATAA NDOA
Kusini magharibi mwa Tanzania? Hii itakuwa zone mpya!