Nahitaji mume mkristo

Nahitaji mume mkristo

P-Lissa

New Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
1
Reaction score
13
Habari wakuu,

Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia kipato.A

Kwa upande wangu mimi ni muajiriwa na jina miaka 34,mkristo,na nina mtoto mmoja.Napatikana Kusini magharibi mwa Tanzania.Mwenye uhitaji karibu sana Inbox.

Karibuni!
 
Utapa mume dada
 
30+ wengi wapo ktk ndoa zao.

Aliyekuzalisha mtoto yupo wapi?kama bado yupo hai ninyi mna bond kubwa kupitia mtoto wenu ya kudumu ktk mahusiano yenu kuliko kuanza mahusiano mapya,na kwa umri huo kama siyo kuwa na mtoto ingebidi usubiri kuolewa na mgane.
 
Habari wakuu,

Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia kipato.A

Kwa upande wangu mimi ni muajiriwa na jina miaka 34,mkristo,na nina mtoto mmoja.Napatikana Kusini magharibi mwa Tanzania.Mwenye uhitaji karibu sana Inbox.

Karibuni!
Mimi hapa. Karibu pm pako waxi
 
Mkristo ni mtu yeyote mwenye akili timamu na kwa kupenda kwake mwenyewe anaenda ndani ya majengo yaitwayo kanisa ama maeneo ya wazi kupeleka fedha ili akatangaze vivutio vya utalii na maeneo tengwa ya nchi mbalimbali za mashariki ya kati km Israel, Jordan,Iraq pia na nchi kadhaa za Ulaya kwa masirahi ya waandishi wa kitabu kilichopewa jina la biblia.
 
Back
Top Bottom