Nahitaji mume mkristo

Nahitaji mume mkristo

30+ wengi wapo ktk ndoa zao.

Aliyekuzalisha mtoto yupo wapi?kama bado yupo hai ninyi mna bond kubwa kupitia mtoto wenu ya kudumu ktk mahusiano yenu kuliko kuanza mahusiano mapya,na kwa umri huo kama siyo kuwa na mtoto ingebidi usubiri kuolewa na mgane.
Acha kukatisha watu tamaa lolote linawezekana
 
Mimi nitakufaa,karibu pm pia napatikana kaskazini kaskazini magharibi (NNW) mwa Tanzania
 
Habari wakuu,

Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia kipato.A

Kwa upande wangu mimi ni muajiriwa na jina miaka 34,mkristo,na nina mtoto mmoja.Napatikana Kusini magharibi mwa Tanzania.Mwenye uhitaji karibu sana Inbox.

Karibuni!
Niko tayari nitumie namba ya simu
 
Back
Top Bottom