Nahitaji mume serious

Status
Not open for further replies.
Umekiri kwamba fimbo zimekutembelea. Haya kila la heri. Ila mwanamume bora huji kumpata mtandaoni.
Perception mbaya sana, Unadhani mitandao ni dangulo?

Unadhani ni rahisi huyo dada/mama kuja hapa kuandika alichokiandika?

Naamini ni ngumu sana lakini kaamua kujitoa muhanga, ingawa hajajitaja jina lakini sio kitu rahisi kama unavyodhani.

Ungetoa na angalizo hao bora walipo, sio kusema tu huwezi pata mume bora mtandaoni.

Mtie moyo mwenzako, kasema yuko serious hachezi. Muonyeshe walipo kama unafahamu.
 
Mume au mke hupatikana popote, hata humu wapo serious na fake intelligence yako tu. Tatizo watu wengi wapo psychologically disrupted kwa kupigwa na vitu vizito.
 
Watoto wadeke na wewe udeke sasa kwenye hiyo nyumba ni nani atakuwa mke na nani atakuwa mtoto?? Inaonekana hata watoto una wadekeza sana kitu ambacho sio kizuri kwa maisha yao ya baadae, inawezekana aliyekuacha aliliona hili mapema sana.

Inatakiwa upigwe msasa wa maadili na shangazi zako kabla ya kutaka kuhamishia tabia zako mbovu kwa mwanaume mwingine ambaye ki uhalisia hamtodumu.
 
KEYWORDS

"............Mimi ni single mom ila kiuchumi nipo vizuri nina maisha yangu Sina mahusiano na baba mtoto wangu........"

Mzingatie hapo hasa hapo kwenye nyekundu
 
Changamoto nikikuweka ndani ukatulia.

Utamkumbuka baba wa huyo Mtoto na kutaka amuone Mtoto.
 
Fursa hio!muwe mnaleta mrejesho ili kuwapa motisha wengne kuwa inawezekana kupata mwenzi humu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…