Perception mbaya sana, Unadhani mitandao ni dangulo?Umekiri kwamba fimbo zimekutembelea. Haya kila la heri. Ila mwanamume bora huji kumpata mtandaoni.
Unadhani ni rahisi huyo dada/mama kuja hapa kuandika alichokiandika?
Naamini ni ngumu sana lakini kaamua kujitoa muhanga, ingawa hajajitaja jina lakini sio kitu rahisi kama unavyodhani.
Ungetoa na angalizo hao bora walipo, sio kusema tu huwezi pata mume bora mtandaoni.
Mtie moyo mwenzako, kasema yuko serious hachezi. Muonyeshe walipo kama unafahamu.