Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

Miaka 32 alaf singo maza bad unachagua? Umri umeshaenda huo legeza mashart umeshapoteza vigezo vingi sana kwa wajuba
 
Degree moja emsesha wewe? Ndipo mnapokosea wanawake. Kuna wanaume wenye mafanikio makubwa sana kuliko hao wa degree unaohangaika nao.
Omba umpatewanaume mwema, mengine mtasaidiana kutafuta. Wanawake wa kitanzania mnapenda Sana mteremko, mnapenda mkute mtu ameahafanikiwa badala ya kutafuta mtu wa kujenga maisha kwa pamoja
Ni sahihi kwako lakini haipaswi kuwa sahihi kwangu!Ndiyo maana huu Uzi na vigezo nimeweka Mimi kwa matakwa yangu na si niaba ya mtu yeyote.
 
Habari Wana Jf,

Mimi ni mwanamke wa miaka 32. Najitokeza kutafuta mwanaume matured kuanza naye mahusiano kuelekea ndoa. Nina amini mahusiano huanzia popote.

Awe

-Mkristo na awe na hofu ya Mungu.

- Mwenye Nia ya dhati na utayari wa mahusiano
-Umri kuanzia 32 -45 yrs

-Awe na shughuli halali ya kuingiza kipato elimu angalau degree moja.

-Muwazi na mkweli

Kwa upande Wangu
-Mimi ni mkristo

-Nina mtoto mmoja

-Nina shughuli ya kuniingizia kipato na elimu yangu ni degree moja

-Muwazi na mkweli

Aliye na Nia karibu PM .

Asante!
https://www.jamiiforums.com/threads...ingia-kwenye-definition-moja-ya-kifo.1748423/
 
Habari Wana Jf,

Mimi ni mwanamke wa miaka 32. Najitokeza kutafuta mwanaume matured kuanza naye mahusiano kuelekea ndoa. Nina amini mahusiano huanzia popote.

Awe

-Mkristo na awe na hofu ya Mungu.

- Mwenye Nia ya dhati na utayari wa mahusiano
-Umri kuanzia 32 -45 yrs

-Awe na shughuli halali ya kuingiza kipato elimu angalau degree moja.

-Muwazi na mkweli

Kwa upande Wangu
-Mimi ni mkristo

-Nina mtoto mmoja

-Nina shughuli ya kuniingizia kipato na elimu yangu ni degree moja

-Muwazi na mkweli

Aliye na Nia karibu PM .

Asante!
njoo DM nikupe namba za PATROBAS KATAMBI, anatafuta mke
 
Back
Top Bottom