antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Aysee.. ila ukimiliki multiple ids zinabumburuka kirahisi tuukila mwanachama zingatia kanuni zifuatazo uwapo jf
kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2: usiri
kanuni ya 3: usiri
kanuni ya 4: usimwamini kila mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini
kanuni ya 7: miliki lD zaidi ya 1
kila la heri mleta mada
mungu akutimizie hitaji lako