Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

kila mwanachama zingatia kanuni zifuatazo uwapo jf

kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2: usiri
kanuni ya 3: usiri
kanuni ya 4: usimwamini kila mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini
kanuni ya 7: miliki lD zaidi ya 1

kila la heri mleta mada
mungu akutimizie hitaji lako
Aysee.. ila ukimiliki multiple ids zinabumburuka kirahisi tuu
 
Nimependa id yako 'open minded'.

I like open minded ladies... mara moja moja nakuomba ruhusa ya kuchepuka kubadilisha ladha na unaniruhusu kiroho safi. Ndoa inakuwa tamu mnoo.

-Kaveli-
 
mimi tukikubaliana ukanionyeshe kwanza kaburi na cheti cha kifo cha huyo uliyezaa naye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie watu bhaana. Mbona wengi tu wameoa wanawake ambao wamewakuta washazaa na life linakwenda?

Proof ninayo
 
Hiyo digrii unatoa ajira?Ungekua muwazi digrii zipo nyingi tu kama vile digrii za uzushi,majungu na fitna
 
Kwan degree ndo kitu gani
Kinanguvu kuliko hera
 
Back
Top Bottom