kingSuley87
Member
- Nov 27, 2017
- 38
- 37
Jamani wana jamii nimejitokeza mbele yenu nami nahitaji mwenza wa maisha ambaye anajitambuwa na kujielewa awe wangu wa maisha na ikimpendeza Mungu ndiye atakayekuwa Mke wangu.
Sifa zangu mimi;
Nina umri wa miaka 30
Ni mrefu kiasi
Si mweupe wala mweusi(majiya kunde)
Si mnene wala mwembamba sana
Elimu yangu ni ya chuo (bachelor of political science and public administration)
Kazi yangu Mimi ni Mfanya biashara
Naishi peke yangu.
Kwa mengine nitakujuza kama upo serious.
Sifa za nimtakaye;
Umri kuanzia 18 hadi 40
Awe rangi yoyote ila iwe original
Elimu kuanzia form four
Awe ameajiliwa au kajiajili
Awe anajielewa na awe serious kwa hili
Ki ukweli hakuna mahali ambapo pamewekwa rasmi kwa wanandoa au wapenzi kukutana,hivyo popote waweza pata mwenza,hivyo nimejitokeza hapa naamini Mungu nimwema atanisaidia.