Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

utapata tu mkuu humu kuna wanawake wazuri tu wenye sifa za kuolewa ila kuwa makini wapo wengine ni wajasiriamali kwa kutumia miili yao.
 
Kitu kikubwa nachokihitaji ni Mwanamke makini,muelewa,anajielewa na kujitambua,pia awe kweli ni muhitaji
 
hatimaye ! fungua pm naja mbio kweli kweli !
dah but ungevuta ka -masters hiviii!!!!!!!!
 
Mungu awabariki wote mnao niombea juu ya jambo hili kweli si jambo dogo ila naamini Mungu ni mwema ata nisaidia,Please kwa wahusika wa hii msisite ili kujenge mahusiano sahihi tuelekee kwa ndoa
 
Back
Top Bottom