Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

Mara ya kwanza ilikuaje? Hawakujitokeza ama? Kila la kheri ndugu..
 
Eti shombeshombe
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hiyo course uliyosomea huenda Ndio maana hawataki kujitokeza[emoji41]

Jokes mkuu
But I doubt km Kuna waarabu na Hao Shombe Shombe wengi humu!
 
Hahahahahahaaaaaa sawa Mkuu Mungu atasaidia
 
Salaam aleyku ndugu zangu,kwa majina Naitwa Suleyman nimejitokeza tena Nikihitaji mwenza wa maisha (mke) .

Sifa zangu:
Nina umri wa Miaka 31
Elimu chuo kikuu(bachelor of political science and public administration)
Kazi Mimi ni mfanya biashara.
Kabila Mnyamwezi
Ninakoishi dar Es salaam
Mrefu, mwembamba kiasi, Si mweupe sana wala mweusi.
Mawasiliano 0715717651

Sifa za nimtakae:
Umri kuanzia miaka 18 mpaka 40
Elimu kuanzia kidato cha nne
Awe mwarabu au shombe shombe wa kiarabu.
Awe mwislamu

Naamini Allah yupo nami na soon mke wangu nitampata.
Sasa ukipata wenye miaka 40 na umri wa mwanamke kuzaa mwisho miaka 35 wafanyaje hapo?
 
Salaam aleyku ndugu zangu,kwa majina Naitwa Suleyman nimejitokeza tena Nikihitaji mwenza wa maisha (mke) .

Sifa zangu:
Nina umri wa Miaka 31
Elimu chuo kikuu(bachelor of political science and public administration)
Kazi Mimi ni mfanya biashara.
Kabila Mnyamwezi
Ninakoishi dar Es salaam
Mrefu, mwembamba kiasi, Si mweupe sana wala mweusi.
Mawasiliano 0715717651

Sifa za nimtakae:
Umri kuanzia miaka 18 mpaka 40
Elimu kuanzia kidato cha nne
Awe mwarabu au shombe shombe wa kiarabu.
Awe mwislamu

Naamini Allah yupo nami na soon mke wangu nitampata.
Asa nyie waislam kwan mnatongoza c unaenda kwa mashkhe unachaguliwa au kwa wenye mabinti unawambia....unaletewa mpaka ndan!!...asa unabwabwaja apa nn!!....
 
Salaam aleyku ndugu zangu,kwa majina Naitwa Suleyman nimejitokeza tena Nikihitaji mwenza wa maisha (mke) .

Sifa zangu:
Nina umri wa Miaka 31
Elimu chuo kikuu(bachelor of political science and public administration)
Kazi Mimi ni mfanya biashara.
Kabila Mnyamwezi
Ninakoishi dar Es salaam
Mrefu, mwembamba kiasi, Si mweupe sana wala mweusi.
Mawasiliano 0715717651

Sifa za nimtakae:
Umri kuanzia miaka 18 mpaka 40
Elimu kuanzia kidato cha nne
Awe mwarabu au shombe shombe wa kiarabu.
Awe mwislamu

Naamini Allah yupo nami na soon mke wangu nitampata.
Ungewawekea na sura yako!!... Wanawake wenyewe wanataka wanaume wene mvuto.....saa kama na sura yako kaa unafanyia kiwanda cha kutengeneza sumu unaeza chelewa
 
acha kumkatisha tamaa.wanaangalia wallet tu.sura ata mbuzi anayo
 
Back
Top Bottom