Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

Kuna jirani yangu yupo Matombo ngoja nimwambie akutafute kama mtawezana itakuwa jambo jema.
 
Hilo unalosema ndo mungu anapenda we chukua jiko tu
 
Mungu akupatie hitaji LA moyo wako,muujiza wako IPO,endelea kuomba kwa bidii,Mungu wetu so kigeugeu,akiongea,habatilishi,na ahadi zake ni kweli na amina,maana ktk mojawapo ya ahadi ni kwamba"so vema MTU huyu akaishi peke YAKE,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye"na itimie kwako
 
Ameeen umenitia moyo sana ndugu Mungu akubariki sana sana.
 
Mm nataka nianzishe mahusiano mwaka mpya nisubir basi bado sku chache naweka nafasi kabisa
 
Bado sijapata mwanamke aliye serious ambae anahitaji kuolewa please najuwa si rahisi sana but najipa moyo nitampata

Sifa zangu:
Umri wangu 30y.o
Elimu chuo kikuu(bachelor of political science and public administration)
Kazi ni mfanya biashara

Sifa za nimtakae:
Umri kuanzia 18y.o mpaka 45y.o
Elimu kuanzia kidato cha nne
Awe ameajiliwa au kajiajili
Dini yoyote

Kiukweli sina mavigezo mengi sana ila nahitaji mwenza anaye jitambuwa anae elewa maisha ni nini.
Kwa aliye tayari please nicheki kwa namba 0715717651
mi nahisi nitakufaa vigezo nimekidhi
 
Back
Top Bottom