Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

kingSuley87

Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
38
Reaction score
37
Jamani wana jamii nimejitokeza mbele yenu nami nahitaji mwenza wa maisha ambaye anajitambuwa na kujielewa awe wangu wa maisha na ikimpendeza Mungu ndiye atakayekuwa Mke wangu.

Sifa zangu mimi;
Nina umri wa miaka 30
Ni mrefu kiasi
Si mweupe wala mweusi(majiya kunde)
Si mnene wala mwembamba sana
Elimu yangu ni ya chuo (bachelor of political science and public administration)
Kazi yangu Mimi ni Mfanya biashara
Naishi peke yangu.
Kwa mengine nitakujuza kama upo serious.

Sifa za nimtakaye;
Umri kuanzia 18 hadi 40
Awe rangi yoyote ila iwe original
Elimu kuanzia form four
Awe ameajiliwa au kajiajili
Awe anajielewa na awe serious kwa hili

Ki ukweli hakuna mahali ambapo pamewekwa rasmi kwa wanandoa au wapenzi kukutana,hivyo popote waweza pata mwenza,hivyo nimejitokeza hapa naamini Mungu nimwema atanisaidia.
 
All the Best utapata mke mzuri
Kiukweli pene nia pana njia
 
Hujaweka yale mavigezo ya umbo namba nane na mengineyo safi sana.
Kiukweli huwa siamini katika hayo naamini katika uelewa wa mwanamke kuliko umbo,japo uzuri,usafi na urembo kwa mwanamke ni muhimu pia.
 
mmmh!!! bad bigining! !!!!kijana umuri 30 unatafuta mke kupitia social media....unakasoro sio bure kwanini usiende kuwinda mwenyewe
 
Mmmmh inaweza ikawa ni changamoto kweli

Hapo sasa! utafanyaje akija mwenye rangi feki na ana vigezo vyooote unavyotaka? Ukisema utamwambia aache mkorogo atabadilika na kuwa na rangi ya kenge!
 
mmmh!!! bad bigining! !!!!kijana umuri 30 unatafuta mke kupitia social media....unakasoro sio bure kwanini usiende kuwinda mwenyewe
Hahahahaaaa kweli uelewa ni kitu kikubwa sana sasa naomba unieleze wapi palipotengwa kuwa ni kiwanda cha kuwindia,tambuwa Mke au Mime hupatikana popote kikubwa baada ya kukutana mlikuwa mnamalengo sawa!?that's all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…