Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

Kuna jirani yangu yupo Matombo ngoja nimwambie akutafute kama mtawezana itakuwa jambo jema.
 
Hilo unalosema ndo mungu anapenda we chukua jiko tu
 
Mungu akupatie hitaji LA moyo wako,muujiza wako IPO,endelea kuomba kwa bidii,Mungu wetu so kigeugeu,akiongea,habatilishi,na ahadi zake ni kweli na amina,maana ktk mojawapo ya ahadi ni kwamba"so vema MTU huyu akaishi peke YAKE,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye"na itimie kwako
 
Ameeen umenitia moyo sana ndugu Mungu akubariki sana sana.
 
Mm nataka nianzishe mahusiano mwaka mpya nisubir basi bado sku chache naweka nafasi kabisa
 
mi nahisi nitakufaa vigezo nimekidhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…