Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

Mara ya kwanza ilikuaje? Hawakujitokeza ama? Kila la kheri ndugu..
 
Eti shombeshombe
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hiyo course uliyosomea huenda Ndio maana hawataki kujitokeza[emoji41]

Jokes mkuu
But I doubt km Kuna waarabu na Hao Shombe Shombe wengi humu!
 
Hiyo course uliyosomea huenda Ndio maana hawataki kujitokeza[emoji41]

Jokes mkuu
But I doubt km Kuna waarabu na Hao Shombe Shombe wengi humu!
Hahahahahahaaaaaa sawa Mkuu Mungu atasaidia
 
Sasa ukipata wenye miaka 40 na umri wa mwanamke kuzaa mwisho miaka 35 wafanyaje hapo?
 
Asa nyie waislam kwan mnatongoza c unaenda kwa mashkhe unachaguliwa au kwa wenye mabinti unawambia....unaletewa mpaka ndan!!...asa unabwabwaja apa nn!!....
 
Ungewawekea na sura yako!!... Wanawake wenyewe wanataka wanaume wene mvuto.....saa kama na sura yako kaa unafanyia kiwanda cha kutengeneza sumu unaeza chelewa
 
Ungewawekea na sura yako!!... Wanawake wenyewe wanataka wanaume wene mvuto.....saa kama na sura yako kaa unafanyia kiwanda cha kutengeneza sumu unaeza chelewa
acha kumkatisha tamaa.wanaangalia wallet tu.sura ata mbuzi anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…