Nahitaji mwanamke asiyezaa

Nahitaji mwanamke asiyezaa

ni mwendo wa kumwaga ndani tu, hakuna cha: bebi sijaona siku zangu
 
Kuna mengi yanakusumbua kuhusu kupata mtoto pole sana dear Mungu atakupa umtakaye
 
Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe!

Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi mwanamke anaenifaa zaidi mie ni mwanamke mgumba ili tujenge maisha pamoja.

Niweke angalizo: 1. Sifurahii tatizo la ugumba, naamini ni tatizo kubwa kama matatizo mengine na naamini walio nalo wanahitaji faraja. Kwa kuwa kukosa mtoto ni jambo baya sana.
2. Siwachukii watoto na nafurahi sana ninapokuwa na watoto hasa wa majirani zangu na kaka yangu.

Naamini mwanamke mgumba anahitaji kupendwa na faraja sawa na mwanamke mwingine yeyote yule na hivyo naomba nitumie nafasi hii kuwaambia kuwa nahitaji mwanamke mgumba.

Kama wewe sio mgumba lakini unataka maisha ya kigumba basi we njoo tu, HAINA SHIDA, ila usije kunisumbua mbele ya safari.(oooh! Joel mi nataka mtoto kama mwajuma)

Umri nishataja angalia hapo aya ya kwanza. Usijali kama huna kazi maana mimi kazi nnayo. Tutaishi kwa kazi yangu.

Kuna mtu anasoma hapa anajiuliza, "sasa hawa hawana mtoto wanataka kufanya nini ndani ya ndoa ?"

Yapo mengi ya kufanya hasa ya kijamii, kujitolea, kulingana na huyo mwenzangu ntakayempata.

Nicheki PM kama uko interested.
Mmmh uyo mganga wako ndio amekupa mashariti hayo ili ukamtoe kafara mtoto wa watu eeet
 
Sharti ulilopewa na Sangoma gumu sana,,ila jaribu utapata.
 
Bila watoto? Mmh nnavopenda watoto hivi kumbe kuna watu hawana mpango kabisa, dunia ina varieties hii🤔🤔
 
Ndugu zangu wa Love Connect, bado sijapata.
 
Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe!

Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi mwanamke anaenifaa zaidi mie ni mwanamke mgumba ili tujenge maisha pamoja.

Niweke angalizo: 1. Sifurahii tatizo la ugumba, naamini ni tatizo kubwa kama matatizo mengine na naamini walio nalo wanahitaji faraja. Kwa kuwa kukosa mtoto ni jambo baya sana.
2. Siwachukii watoto na nafurahi sana ninapokuwa na watoto hasa wa majirani zangu na kaka yangu.

Naamini mwanamke mgumba anahitaji kupendwa na faraja sawa na mwanamke mwingine yeyote yule na hivyo naomba nitumie nafasi hii kuwaambia kuwa nahitaji mwanamke mgumba.

Kama wewe sio mgumba lakini unataka maisha ya kigumba basi we njoo tu, HAINA SHIDA, ila usije kunisumbua mbele ya safari.(oooh! Joel mi nataka mtoto kama mwajuma)

Umri nishataja angalia hapo aya ya kwanza. Usijali kama huna kazi maana mimi kazi nnayo. Tutaishi kwa kazi yangu.

Kuna mtu anasoma hapa anajiuliza, "sasa hawa hawana mtoto wanataka kufanya nini ndani ya ndoa ?"

Yapo mengi ya kufanya hasa ya kijamii, kujitolea, kulingana na huyo mwenzangu ntakayempata.

Nicheki PM kama uko interested.
Age ya 18 atajuaj kam ni mgumba
 
Weka picha pls
 
Back
Top Bottom