kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 510
Wapo mkuuWw unawatoto wawili ila yeye kuwa na watoto wawili kosa,hakuna mwanamke mwenye umri huo akawa na mtoto mmoja labda mgumba.
Tuliiiia tutaolewa tuuLabda mtaoa vijana wa mjini 😅
Tunaona umeamua kuoa mzee mwenzako swafiii... ila uwe tayari kutunza watoto wa kufikia..Wana MMU, heshima kwenu.
Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya.
Umri wangu ni miaka 48, nina watoto 2 na ninafanya kazi binafsi zilizo halali.
Mwenye hitaji hilo aje PM
Acha ubaguzi, ukishindwa kabisa kaoe chini ya 25Wana MMU, heshima kwenu.