Nahitaji mwanamke wa kuoa

Nahitaji mwanamke wa kuoa

kwetumasoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
866
Reaction score
510
Wana MMU, heshima kwenu.

Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya.

Umri wangu ni miaka 48, nina watoto 2 na ninafanya kazi binafsi zilizo halali.

Mwenye hitaji hilo aje PM
 
Mkuu zile kampeni za “KATAA NDOA” hujaziona..?! Vip wewe siyo mkataa ndoa?
 
Wana MMU, heshima kwenu.

Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya.

Umri wangu ni miaka 48, nina watoto 2 na ninafanya kazi binafsi zilizo halali.

Mwenye hitaji hilo aje PM
Tunaona umeamua kuoa mzee mwenzako swafiii... ila uwe tayari kutunza watoto wa kufikia..
 
Wana MMU, heshima kwenu.

Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya.

Umri wangu ni miaka 48, nina watoto 2 na ninafanya kazi binafsi zilizo halali.

Mwenye hitaji hilo aje PM
Acha ubaguzi, ukishindwa kabisa kaoe chini ya 25
 
Back
Top Bottom