Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa dhati yangu tu nimeamuaUmeamuwa kuowa au umeshurtishwa na baraza la kanisa?
Unamana ganiKuishi mbali mbali!?
Unamana gani
Kila mtu awe anaishi mkoa wake..!Unamana gani
Alafu mimba utapataje?Kila mtu awe anaishi mkoa wake..!
Hivyo vyote naviweza mpk sasa, ila nahitaji nioe nitulie sasa, jamani mke ndo namtafuta sio kahaba nasstizaUna uhakika ni mke unahitaji au mtu wa kukupikia, kufua na kukufanyia usafi?
Inshalah na mrejesho nitauleta banduguKila la kheri
Haya kila la kheri.Hivyo vyote naviweza mpk sasa, ila nahitaji nioe nitulie sasa, jamani mke ndo namtafuta sio kahaba nasstiza
Kosa namba moja hilo hapo utapata mwanamke anaetaman ndo labda kutoa gundu na yeye awe na ndoa lakin sio mapenz na wewe kikubwa sema unatafuta mtu wa kua na mahusiano nae kisha uumpime kimya kimya kama atafaa kua mke maana sio kila mahusiano ni ndoa zingine ni mafunzo zu ya ndoaNahitaji mwanamke wa kuoa. Awe ni muelewa tu sio mjuaji.
Najibu PM zote kuanzia sasa kwa mengi zaidi.
Tamaa ,mwanaume ukiwa na shida halafu ukimwomba hela akusitiri anavisingizio huyo sio mwanaume wako ,huyu anawake tayari , ambaye anamtunza mwanaume akiwa mgumu kukupatia unachohitaji anamtu akimwambia kakwama anatoa haijalishi ni how much . Tusidanganyane . Unataka utumie muda, wamtu,k yake halafu ukahonge kwingine eti akuvumilie tu hapana . Maisha sio hivyoo maosha nokumjali uliyenayeKosa namba moja hilo hapo utapata mwanamke anaetaman ndo labda kutoa gundu na yeye awe na ndoa lakin sio mapenz na wewe kikubwa sema unatafuta mtu wa kua na mahusiano nae kisha uumpime kimya kimya kama atafaa kua mke maana sio kila mahusiano ni ndoa zingine ni mafunzo zu ya ndoa
Sifa za mke ni
Hakupi presha sijui nioe nataka ndoa no
Pili hana tamaaa
Tatu mvumilivu
Nne mcha mungu
Sio mbinafs na nk
Hapo ndio mnapofel shida ni kwamba mnakua hamna shida ya ukwel au shida haziko specific yaan mtu anakuambia naomba hela ukimuuliza ya nini kosa anataka uumpe hela sasa yanakua sio mahusiano bal kama kitega uchumi sikiliza story hata za hawa wadada wanaosema mwanaume kama hanipi hela simtak wanachotaka wapewe tu hela na matumiz wayajue wao sasa hakuna mwanaume wa hivyo lazima kue na maelezo naitaj hela kwa ajili ya jambo fulani shida fulan kwanini usipewe sasa mnachotaka nyiny ni kupewa hela kila mnapohitaji na kufanya vitu ambavyo havina msing lakin kwenu mnaona vya maana yaan trending fashion fulan isikupite sasa hela ya mwanaume ina folen hamjui tu watu wengi wanaingojea dawasco wanaitaka tanesco anaitaka fund gereji anaitaka padr anaitaka serikal ya mtaa abaitaka mama ndugu na nk na wewe unataka kupewa kipaumbele ukafanye vitu ambayo havina umuhim kucha nywele na nk lazima akuambie sina au ngoja hapo ndio mnaona hampendi blah blah kibao mwanamke atakaeelewa hiyo ndio anakua mke mwemaTamaa ,mwanaume ukiwa na shida halafu ukimwomba hela akusitiri anavisingizio huyo sio mwanaume wako ,huyu anawake tayari , ambaye anamtunza mwanaume akiwa mgumu kukupatia unachohitaji anamtu akimwambia kakwama anatoa haijalishi ni how much . Tusidanganyane . Unataka utumie muda, wamtu,k yake halafu ukahonge kwingine eti akuvumilie tu hapana . Maisha sio hivyoo maosha nokumjali uliyenaye
Je kama umekwama kwenye biashara yakoHapo ndio mnapofel shida ni kwamba mnakua hamna shida ya ukwel au shida haziko specific yaan mtu anakuambia naomba hela ukimuuliza ya nini kosa anataka uumpe hela sasa yanakua sio mahusiano bal kama kitega uchumi sikiliza story hata za hawa wadada wanaosema mwanaume kama hanipi hela simtak wanachotaka wapewe tu hela na matumiz wayajue wao sasa hakuna mwanaume wa hivyo lazima kue na maelezo naitaj hela kwa ajili ya jambo fulani shida fulan kwanini usipewe sasa mnachotaka nyiny ni kupewa hela kila mnapohitaji na kufanya vitu ambavyo havina msing lakin kwenu mnaona vya maana yaan trending fashion fulan isikupite sasa hela ya mwanaume ina folen hamjui tu watu wengi wanaingojea dawasco wanaitaka tanesco anaitaka fund gereji anaitaka padr anaitaka serikal ya mtaa abaitaka mama ndugu na nk na wewe unataka kupewa kipaumbele ukafanye vitu ambayo havina umuhim kucha nywele na nk lazima akuambie sina au ngoja hapo ndio mnaona hampendi blah blah kibao mwanamke atakaeelewa hiyo ndio anakua mke mwema
Sina maana mwanamke asipewe pesa ya urembo no ila wapunguze kua na mahitaj yasio na maana ambao hata baba zao hawawez kuwaomba hata nikikuuliza wewe ushawai kumlalamikia baba yako kua hakutunz na wakat jibu hujawai sababu ulikua unaona majukumu aliyo nayo na had huruma ulikua unamuonea na hata sasa uwe hivyo kwa mwanaume sio kutaka kumgeuza kitega uchumi na pesa zake zitimize tamaa zako zote unazotaka
Sasa kama hana ukimuelewaJe kama umekwama kwenye biashara yako
Sasa akikuambia sina ukimuelewa na ukawa mvumiilivu hawez kukutupa lakin akikuambia umekwama mtaanza lawama mara ndugu zako unawasaidia mimi hutak una roho mbaya hapo ndip unamvuruga lakin ukimwambia umekwama na yeye akaona hustle zako na ukawa unakaribia kufunga biashara lazima atie nguvuJe kama umekwama kwenye biashara yako