Nahitaji mwanamke wa kuoa

Nahitaji mwanamke wa kuoa

Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe ni muelewa tu sio mjuaji.

Najibu PM zote kuanzia sasa kwa mengi zaidi.
Kosa namba moja hilo hapo utapata mwanamke anaetaman ndo labda kutoa gundu na yeye awe na ndoa lakin sio mapenz na wewe kikubwa sema unatafuta mtu wa kua na mahusiano nae kisha uumpime kimya kimya kama atafaa kua mke maana sio kila mahusiano ni ndoa zingine ni mafunzo zu ya ndoa

Sifa za mke ni
Hakupi presha sijui nioe nataka ndoa no

Pili hana tamaaa

Tatu mvumilivu

Nne mcha mungu

Sio mbinafs na nk
 
Tamaa ,mwanaume ukiwa na shida halafu ukimwomba hela akusitiri anavisingizio huyo sio mwanaume wako ,huyu anawake tayari , ambaye anamtunza mwanaume akiwa mgumu kukupatia unachohitaji anamtu akimwambia kakwama anatoa haijalishi ni how much . Tusidanganyane . Unataka utumie muda, wamtu,k yake halafu ukahonge kwingine eti akuvumilie tu hapana . Maisha sio hivyoo maosha nokumjali uliyenaye
 
Hapo ndio mnapofel shida ni kwamba mnakua hamna shida ya ukwel au shida haziko specific yaan mtu anakuambia naomba hela ukimuuliza ya nini kosa anataka uumpe hela sasa yanakua sio mahusiano bal kama kitega uchumi sikiliza story hata za hawa wadada wanaosema mwanaume kama hanipi hela simtak wanachotaka wapewe tu hela na matumiz wayajue wao sasa hakuna mwanaume wa hivyo lazima kue na maelezo naitaj hela kwa ajili ya jambo fulani shida fulan kwanini usipewe sasa mnachotaka nyiny ni kupewa hela kila mnapohitaji na kufanya vitu ambavyo havina msing lakin kwenu mnaona vya maana yaan trending fashion fulan isikupite sasa hela ya mwanaume ina folen hamjui tu watu wengi wanaingojea dawasco wanaitaka tanesco anaitaka fund gereji anaitaka padr anaitaka serikal ya mtaa abaitaka mama ndugu na nk na wewe unataka kupewa kipaumbele ukafanye vitu ambayo havina umuhim kucha nywele na nk lazima akuambie sina au ngoja hapo ndio mnaona hampendi blah blah kibao mwanamke atakaeelewa hiyo ndio anakua mke mwema

Sina maana mwanamke asipewe pesa ya urembo no ila wapunguze kua na mahitaj yasio na maana ambao hata baba zao hawawez kuwaomba hata nikikuuliza wewe ushawai kumlalamikia baba yako kua hakutunz na wakat jibu hujawai sababu ulikua unaona majukumu aliyo nayo na had huruma ulikua unamuonea na hata sasa uwe hivyo kwa mwanaume sio kutaka kumgeuza kitega uchumi na pesa zake zitimize tamaa zako zote unazotaka
 
Je kama umekwama kwenye biashara yako
 
Je kama umekwama kwenye biashara yako
Sasa kama hana ukimuelewa
Je kama umekwama kwenye biashara yako
Sasa akikuambia sina ukimuelewa na ukawa mvumiilivu hawez kukutupa lakin akikuambia umekwama mtaanza lawama mara ndugu zako unawasaidia mimi hutak una roho mbaya hapo ndip unamvuruga lakin ukimwambia umekwama na yeye akaona hustle zako na ukawa unakaribia kufunga biashara lazima atie nguvu
 
Back
Top Bottom