Nahitaji Mwanamke wa kuzaa naye

Nahitaji Mwanamke wa kuzaa naye

Hiyo kula vizuri na maandalizi ya tumbo la kubebea ujauzito [emoji23][emoji23][emoji23]Baba mtarajiwa atalipia.
Aaaah baba mwenyewe ashaanza na mambo ya sweetheart hapo unaona kuna malipo kweli?
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Kipozeo hiyo
Aaaah baba mwenyewe ashaanza na mambo ya sweetheart hapo unaona kuna malipo kweli?
 
Hahahahaha na si ajabu wako ambao wameshaingia kichwa kichwa sasa wanafanyiwa udahili tayari kuingizwa kwenye mchakato husika.
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Baba mjanja mjanja sana huyu[emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahaha na si ajabu wako ambao wameshaingia kichwa kichwa sasa wanafanyiwa udahili tayari kuingizwa kwenye mchakato husika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah ngoja na mimi niwahi ila sasa hizo kilo na idadi ya watoto ndio taabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zoezi linakuhusu anza kuruka kichura chura asubuhi na jioni kwa dakika 45 kila siku na kufunga siku tatu kwa wiki ili uingie kwenye mchakato

Mwe mwe mweeee [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anaweza akaibuka na warembo watano akawa anajilia utamu kwa raha zake kimya kimya maana zoezi la kutia mimba linaweza kuwa refu ATI! Mujini ujanja ujanja
🤣🤣🤣🤣
Mwe mwe mweeee [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anaweza akaibuka na warembo watano akawa anajilia utamu kwa raha zake kimya kimya maana zoezi la kutia mimba linaweza kuwa refu ATI! Mujini ujanja ujanja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki mjini mipango!
 
Yaani hadi kuzaa tunapimana kilo jamani!! Ongeza ongeza hizo kilo basi. Vipi kuna malipo? Au ndio umeanza kupooza kwa kuita "sweetheart"
Morphology ni kitu muhimu sana kwangu hivyo usishagae
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anaweza akaibuka na warembo watano akawa anajilia utamu kwa raha zake kimya kimya maana zoezi la kutia mimba linaweza kuwa refu ATI! Mujini ujanja ujanja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio wa type hiyo kiongozi! Zipo Raha ninazoenyoy zaidi ya hizo...
Akipatikana mmoja tu naondoa bandiko langu...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom