CASE CLOSE
Napenda kuwajulisha kuwa niliyekuwa namuhitaji amepatikana. Ni ....27
Ndie mwanamke pekee aliyekuwa interested na akanitumia mwaliko na kwa maongezi niliyofanyanaye tokea Jana mwanga nauona..
Hivyo basi napenda kutoa shukrani za pekee kwa wale Wote waliochangia kwa namna yoyote ili kuboresha, kukebehi, na kufurahusha..
Wengine walijiuliza kwani huko mtaani siwaoni wanawake?..
Wapo wengi ila kupata anayeamini unachoamini itachukua muda mrefu sana.
Hivyo basi kuanzia Sasa sitajibu email, pm yoyote Ile kwani nimeshampata niliyemhitaji...