Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Nshafika tayar naisubir j3 tayar kwa kuvaa nguo mpya na kula pilau
Tafuta na mume hukohuko..! Maana siye tukitia mguu tu kijijini madem wote ni vita..! Vipi wanaume huko hawawapiganii??
 
Mi nakunywa pombe kwahivyo sifa sina?
 
Hivi katika hali ya kawaida, inakuaje mwanamke anatafuta Mchumba tena kwa mtandao.
Mi najua wanawake ni watu wa kutongozwa, husubiri wanaume waje wawatongoze kisha wao wenyewe kwa utashi wao wachague mwanaume wanayemtaka katika hao.
 
Ama kweli zama za magumashi hizi. Siku hizi wadada zamu yenu kuwatongoza waume, ati? Nasikia kama ka-harufu ka methali isemayo !...kibaya chajitembeza..."! Nadhan nimepita kimya, nisikoromewe bure mweeee.....
 
Vigezo vyote mi niko navyo kasoro kwenye bangi, ila Mimi bangi huitumia kwenye shughuli zangu za kiofisi ambayo hunifanya kuwa na utendaji kazi uliotukuka, hivyo kama itakuwa siyo issue sana kwako karibu sana pm
 
Kila la kheri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…