Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Hivi katika hali ya kawaida, inakuaje mwanamke anatafuta Mchumba tena kwa mtandao.
Mi najua wanawake ni watu wa kutongozwa, husubiri wanaume waje wawatongoze kisha wao wenyewe kwa utashi wao wachague mwanaume wanayemtaka katika hao.
Kila mtu anaishi anavyoweza so don't judge my life coz I will not judge urs
 
Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa

Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara

Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..

Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.

Merry chrismass and happy new year..[emoji268]

Mimi Nina miaka 24 mkuu. Nikubali bhana tuyajenge, tofauti ya Miaka tuiweke kando!
 
Hivi katika hali ya kawaida, inakuaje mwanamke anatafuta Mchumba tena kwa mtandao.
Mi najua wanawake ni watu wa kutongozwa, husubiri wanaume waje wawatongoze kisha wao wenyewe kwa utashi wao wachague mwanaume wanayemtaka katika hao.
Its better ukupita kimya nilishasema ukiona bandiko halikuhusu upite tu
 
Mimi
Elimu: darasa la nne
Kazi: mpiga debe
Umri: 30+
Dini: muislamu

Nb: nina nyumba tatu, viwanja viwili, gari moja la biashara na moja la kutembelea, salon ya wanawake, duka la nguo,

VP NAFAA KUWA WAKO
 
Ama kweli zama za magumashi hizi. Siku hizi wadada zamu yenu kuwatongoza waume, ati? Nasikia kama ka-harufu ka methali isemayo !...kibaya chajitembeza..."! Nadhan nimepita kimya, nisikoromewe bure mweeee.....
Freedom of speech siyo mbaya pia
 
Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa

Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara

Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..

Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.

Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Njoo pm
 
Bandiko halinihisu kwa kuwa dini uliotaka mie sipo huko ila umesema ww ni mfupi halafu kigezo mojawapo unataka mwanaume mrefu, kwanini usichukue type yako.

Vinginevyo badili kipengele cha dini nije PM.

Krismasi njema na kwako pia
 
Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa

Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara

Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..

Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.

Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Hatutak nyie mizinguoo boraa tubak hit and run
 
maamame mjomba usiregeza acha kutu iendelee
IMG-20171222-WA0004.jpg
 
Bandiko halinihisu kwa kuwa dini uliotaka mie sipo huko.
Vinginevyo badili kipengele cha dini nije PM

Mwanamke kafiri wa kazi gani babu.
Atakutia nuksi buree!!
Ma-ukhty wa kiislam warembo wenye kujisitiri kibao wamejazana.
 
Back
Top Bottom