Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Ufupi wako wa nchi ngapi! Isije kua mbilikimo!
NB: Nategemea kuoa 2020 ntakua na 35+.
 
Tu
tupiamo tupicha, eleza kama wewe au familia yako haina magonjwa na kuridhi kama vile kifafa, kisukari, sickle cells, saratani, albinism. Pia eleza kuhusu blood group lako na kabila lako pia.
 
Pole sana utampata ila utasubili kiasi [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174]
 
Siyo choice vipi wakati wewe mwenyewe ni mfupi?
Yuko sahihi kutafuta mrefu kidogo ili watoto wasibaki kuwa wafupi wote. Hata hivyo kama wewe ni mfupi sana chini 150cm usipendelee warefu sana au watu wenye miili mikubwa kama wasukuma, wanyakyusa kuepuka kuzaa kwa operations
 
Kama upo tayari miaka 40 ni check
 
Njoo pm mrembo. Sina maneno mengi nataka mke.
 
Nenda huku :tanzaniandating@gmail.com upate mume fasta ila uwe serious
 

Ww kweli ni mpumbavu haswa hao dada zenu waliojitanda maushungi umalaya wanaoufanya hapo mjini hauoni?...malaya wao mabata wao
 
Me nahitaji mke nina miaka 44 navuta sigara Halafu napenda kushiriki tendo la ndoa kila baada ya masaa 6. Utaniweza [emoji23] [emoji1]
Mmh kuelekea mwisho wa mwaka tutasikia mengi sana aisee imebidi nicheke tu
 
Nina vigezo zaidi ya hivyo ulivyovitaja.....
 
Mungu atakusaidia utampata umpendae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…