Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

ME kuwa mfupi siyo ulemavu kumfanya abaguliwe kwenye bandiko.
 
Yaani watu wanapenda kujjita wakristo ili kukwepa ndoa ya uke wenza. Wakati wake wanne kwenye biblia imeruhusiwa. Ukitaka ligi ya maandiko sema nilianzishe.
Brother amekutenga,endelea na mengine.
 
naona vigezo tisa vya mwanaume umtakaye
vp bado hujampata mpaka leo..................
 
Yaani watu wanapenda kujjita wakristo ili kukwepa ndoa ya uke wenza. Wakati wake wanne kwenye biblia imeruhusiwa. Ukitaka ligi ya maandiko sema nilianzishe.
sasa we kinachokuuma nini mkuu, mhusuka anatafuta mwenza, wewe umekazania dini na kuwa mke mwenza,,, kaanzishe uzi wako huko wa wake wanne, wakuna aliyeomba ligi ya maandiko huko ni kuwashwa washwa,,,, mwache binti wa watu anatafuta anachokitaka yeye na kukipenda, kama hapakuhusu au huna vigezo kausha kama wengine tulivyokausha
 
Mimi
Elimu: darasa la nne
Kazi: mpiga debe
Umri: 30+
Dini: muislamu

Nb: nina nyumba tatu, viwanja viwili, gari moja la biashara na moja la kutembelea, salon ya wanawake, duka la nguo,

VP NAFAA KUWA WAKO
Kikikikiki hahahahahah
 
Aise sintokua moja ya wapumbavu wa kubishania DINI na kudhihaki DINI au maandiko matakatifu ..nikuache tu, kwanza wewe inaonesha una dharau na unadharau imani za watu, huko uliko hakuna wanawake wa kiislamu ujichagulie hadi uje umdhihaki mleta mada na imani yake? Mwanamke wa aina hii hutomweza kwa sababu ana msimamo,
ungeonekana wa maana sana kama ungemuuliza kistaarabu kua kama kuna uwezekano wa kubadilisha dini yake lakini umekuja kwa kejeli na dharau na zaid unadharau na kukejeli imani za watu, sasa kwanini nskuite mpumbavu? Hujui kusoma masharti na vigezo?! Sasa unataka ligi ya kubishania dini ..siwezi aise tafuta wehu wa kule mtaani ndo ubishanie nao dini
Fact
 
Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa

Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara

Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..

Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.

Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Kimya kimya naamini nimeelewa somo
 
Pumbafu mwenyewe...tena mbwa kabisa zezeta wewe....hujui kitu...wala biblia huijui bwege wewe....
Nimemdhihaki saa ngapi? Wewe huoni mtoa mada amedhihaki watu wafupi tena viumbe walioumbwa na Mungu Yesu? Hilo hujaliona?
Sasa tangu lini mkristo akaoa wake wanne ingawa maandiko hayajazuia ila mmejizuia wenyewe tu kwa umbumbumbu wenu wa kutokujua maandiko.
Kimekuuma nini? We vipi?
Mungu Yesu??????
 
femaleagle, ulianza vizuri, ila kwenye vigezo umechemka! kuna watu hawanaga hiyo form6 na wanapiga mshahara wa raisi kwa wiki! nadhani naweza kuwa miongoni mwao japo nimebukua chuo honors!
 
Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa

Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara

Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..

Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.

Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
d9e4d56166e1e74566de23805c5123b3.jpg
vp utanikubalia
 
Back
Top Bottom