Nahitaji mwanaume hanithi

Status
Not open for further replies.
Yaani wewe ndio umekurupuka kuanza kunilaani. Hii post ni kwa mleta mada wewe unadandia treni kwa mbele. Siwezi kusema nimuoe mwanaume mwenzangu sababu dini na kabila langu kumwingilia mwanaume mwenzako ni laana. Leta post nilioku-qoute kukukashifu au kukwambia mamneno ya kejeli. Hio uliyoi-qoute haikuhusu labda kama una stress zako unadhani nimekwambia wewe.

Asante kwa dua baya ila halitonifika kwa kuwa ww sio mlengwa.
 
Samahani sana mkuu, sikuwa nimeelewa vizuri post yako, sasa nimekuelewa na kweli nilikurupuka kujibu bila kupata uelewa wa kina, Mungu akuepushe na mabaya niliyotamka maana nimeyabatilisha kwa kinywa changu, samahani kwa mara nyingine tena.
 
Ok shukran mkuu kwa kunielewa. Tupo.pamoja
 
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Huyo mwanaume alikufa latika miaka ya 1811. Basically wanaume wengi ni functional, na kama ni hanisi wengi hujificha..
 
Panua moyo usimulaani mtu, hapa kuna kila aina ya binadamu wema na waovu, walemavu na wasiowalemavu, msamehe tu, hiyo ni inshu ndogo saana ukiamini unapona kabisa, kumbuka Mungu alisema; "Wala hatakuwepo tasa katika Israel" Kutoka23:26
Ukiyaamini hayo maneno ya kinywa cha Mungu halafu ukaanza kumdai na kumuuliza kwa nini uwe wewe,
Ni mwaminifu sana Mungu kwenye kauli zake!
 
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Nawe ulikuwa moja ya wale wamama wa Dar ambao alikuwa anakuja yule mzee wa Dom kuwauzia "migegedo" ya mbao?
Hapo lazima ukose hisia za mapenzi na mwanaume maana ulishazoea "kujikojoza" mwenyewe kwa kutumia boro la kuchonga.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…