flowerss
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 640
- 591
Kivurugeee eeeeh. Mwachie kaka hapo juu anaonekana yupo serious sanaAlikuwa ananitafuta mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivurugeee eeeeh. Mwachie kaka hapo juu anaonekana yupo serious sanaAlikuwa ananitafuta mimi
Yaani wewe ndio umekurupuka kuanza kunilaani. Hii post ni kwa mleta mada wewe unadandia treni kwa mbele. Siwezi kusema nimuoe mwanaume mwenzangu sababu dini na kabila langu kumwingilia mwanaume mwenzako ni laana. Leta post nilioku-qoute kukukashifu au kukwambia mamneno ya kejeli. Hio uliyoi-qoute haikuhusu labda kama una stress zako unadhani nimekwambia wewe.Nimejitahidi sana nisikutukane, kabla ujafa haujaumbika. Unanidhiaki na kunidharau kwani haya matatizo niliyataka mimi? Nimpango wa Mungu mtu kuwa jinsi alivyo au atakavyo kuwa baadae. Ninakuombea upate ulemavu mkubwa mzito sana halafu watu wakudhihaki na kukudharau kama unavyonifanyia mimi mpaka siku unakwenda kaburini na unayotaka kuwafanyia wengine ufanyiwe wewe. Haya maneno yaifadhi kwa kumbukumbu ya baadae.
Samahani sana mkuu, sikuwa nimeelewa vizuri post yako, sasa nimekuelewa na kweli nilikurupuka kujibu bila kupata uelewa wa kina, Mungu akuepushe na mabaya niliyotamka maana nimeyabatilisha kwa kinywa changu, samahani kwa mara nyingine tena.Yaani wewe ndio umekurupuka kuanza kunilaani. Hii post ni kwa mleta mada wewe unadandia treni kwa mbele. Siwezi kusema nimuoe mwanaume mwenzangu sababu dini na kabila langu kumwingilia mwanaume mwenzako ni laana. Leta post nilioku-qoute kukukashifu au kukwambia mamneno ya kejeli. Hio uliyoi-qoute haikuhusu labda kama una stress zako unadhani nimekwambia wewe.
Asante kwa dua baya ila halitonifika kwa kuwa ww sio mlengwa.
Unataka umfanyie nn usikute unalo linjemba huko mumshuhulikie hanisi wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok shukran mkuu kwa kunielewa. Tupo.pamojaSamahani sana mkuu, sikuwa nimeelewa vizuri post yako, sasa nimekuelewa na kweli nilikurupuka kujibu bila kupata uelewa wa kina, Mungu akuepushe na mabaya niliyotamka maana nimeyabatilisha kwa kinywa changu, samahani kwa mara nyingine tena.
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Mkuu kwani wewe ni hanithi?😀Sasa mbona umefunga pm.
Dah! nimecheka sana bt hata mimi najiuliza anataka kumfanya nini mwana wa mwanamke mwenzie😎Unataka umfanyie nn usikute unalo linjemba huko mumshuhulikie hanisi wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanaume alikufa latika miaka ya 1811. Basically wanaume wengi ni functional, na kama ni hanisi wengi hujificha..Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Panua moyo usimulaani mtu, hapa kuna kila aina ya binadamu wema na waovu, walemavu na wasiowalemavu, msamehe tu, hiyo ni inshu ndogo saana ukiamini unapona kabisa, kumbuka Mungu alisema; "Wala hatakuwepo tasa katika Israel" Kutoka23:26Nimejitahidi sana nisikutukane, kabla ujafa haujaumbika. Unanidhiaki na kunidharau kwani haya matatizo niliyataka mimi? Nimpango wa Mungu mtu kuwa jinsi alivyo au atakavyo kuwa baadae. Ninakuombea upate ulemavu mkubwa mzito sana halafu watu wakudhihaki na kukudharau kama unavyonifanyia mimi mpaka siku unakwenda kaburini na unayotaka kuwafanyia wengine ufanyiwe wewe. Haya maneno yaifadhi kwa kumbukumbu ya baadae.
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Nawe ulikuwa moja ya wale wamama wa Dar ambao alikuwa anakuja yule mzee wa Dom kuwauzia "migegedo" ya mbao?Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Hasa wa Dar.!Tegemea kuwapata wengi
Hao wote from Dar..Tzcc: Ben Kinyaiya
Martin Kadinda
Mose Iyobo