Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mzazi mwenzako yuko wapi?? Je ukimpata mwanaume alafu siku moja ya mapumziko mzazi mwenzio akasema umpeleke mtoto kwake itakuwaje?? Mawasiliano ya wewe na mzazi mwenzio yakoje??
Hili lazima ilifikirie, wanaume hatupendagi ujinga vinginevyo utatumika tu.
Mimi sio demNahitaji dem wakuowa
HapanaNina 31
Mkristo wa Kanisa la Wokovu
Vipi huchukui?
Mbona wewe unazaidi ya 30+ na huna maisha yakuelewekaWe una akili kweli umeshazalishwa uko aliekuzalisha kwann hajakuoa unaonekana ww una matatizo halafu mwanaume gani ana huo umri hana mchumba au mke yani ukiona umefikisha miaka 25 hujaelewa ujue ndo bac tena we utakuwa wa kupigwa miti na kuachwa
Huyo wala asikupe shida. Namjua fika Ngoja nikutafutie picha yake Facebook, hutashangaa kujibu hivyoHaya maneno yako makali sana hayana hekima.
Tumia busara kidogo.
Na wanaume mnaotukana hivi ndio mnaowapa wanawake mimba na kupotea.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unatafuta mume humu JF wakati mtaani kwenu ulipata mwanaume akakupa mimba ww ukaitoa labda kama umeacha tabia ya kutoa mimba utapata mume ila kama hujaacha ndoa utaisikia tu kwa wenzako wanaojua kulea mimba
Nishakupata. Karibu tuyajengeHabari wana Love connect,
Nina miaka 25, single mother wa mtoto mmoja, nahitaji mpenzi baadae awe mume kama tutakubaliana na kuelewana, ni muislam, shughuli zangu za ujasiliamali, naishi Dar. Kiumbo ni mnene wa wastani urefu ft5.6 rangi ya maji ya kunde.
Nahitaji humble man, mcheshi( kwani nami ni mcheshi pia) awe muislam age kuanzia
29-30
Kwa aliye serious ni PM
Mkuu nani huyu,Unatafuta mume humu JF wakati mtaani kwenu ulipata mwanaume akakupa mimba ww ukaitoa labda kama umeacha tabia ya kutoa mimba utapata mume ila kama hujaacha ndoa utaisikia tu kwa wenzako wanaojua kulea mimba
Huyo anaetafuta mume humu JFMkuu nani huyu,