Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,932
Reaction score
4,544
Umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa.

Asiwe mlevi,asivute sigara,asiwe mgomvi wala mkorofi,sichagui kabila,ila dini ningependa awe mkristo wa dhehebu lolote,tafadhali sihitaji masikhara wala kebehi,mambo yote yawe katika private sms.asiyehusika please naomba apite.

N.B:kupima HIV ni muhimu sana.
 
Mkuu Preta hyo kutakuwa na kasoro tu sio bure umri wake wa kutafutwa yy anatafuta, ukiona hvyo hata kitaaani kuitw na vi matured boy ni shida
 
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......

Labda ni mjane au single mama..wa hivyo huwa wanawinda sana
 
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......

kama wewe ninavyokutafta mimi kwa udi na uvumba
 
Sio nia yangu kukuvunja moyo
but vizuri kuelimishana
huwezi kukutana na 'stranger akawa na 'mapenzi ya dhati'
already

mapenzi huota na kupaliliwa.....hadi yafike hiyo level ya 'mapenzi ya dhati'

now tafuta mtu utakae anza nae safari....mnaanzia urafiki mkijaaliwa mfike huko
 
Atakua virgin ndio si atak kuchezewa ovyo ndio mana anatafta yy
 
Toka la saba au olevel hadi chuo unagawa, haijaisha? Sikubaliani na sifa ulizotaja.

Tamka kwanza walikuanza kukugegeda lini ili tuthaminishe, wanaume tupo ila kuudhiwa mbuzi kwenye gunia NO.
 
Back
Top Bottom