innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 748
Km imeandikwa na mungu utampata mwanaume huyoo jf bac hakika utampata na mungu aliye juu mbingun akusaidie upate mume huyoo mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......
Tatizo nyotaa labda
Labda ni mjane au single mama..wa hivyo huwa wanawinda sana
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......
Dr bado nachelewa kukubali kwa kweli.......
Halafu kesho uniangalie kwenye TV........nakimbia kili marathon km 21..........
Dr bado nachelewa kukubali kwa kweli.......
Halafu kesho uniangalie kwenye TV........nakimbia kili marathon km 21..........