Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Nipo tayari , sifa zote nnazo,upo wapi? . nipo seriouz
 
Binti mbona umri wako bado mdogo sana unataka kujibebesha mashaka ya dunia,mie dadako niulize raha na tabu ya ndoa ntakwambia kwa sasa sikushauri kama unauwezo endelea kusoma nakufanya kazi na huko huko mbele ya safari utampata
lakini vigezo punguza kama huyo huwezi kumpata labda ukamchukue muhimbili ulee mwenyewe.
 
Kuna vitu vingi umeviacha kuhusu wewe... Mfano urefu, uzito, wapi unaishi, na picha pia inahusika
 
Je unataka mgegedo wa saiz gani? Unaosugua bao ngapi na unaohimili muda gani?
 
Princess utapata hitaji la moyo wako, hayo mengine hayanihusu.. Mimi nikuombee tu
 
Last edited by a moderator:
Jamani kasema tusohusika tupite mwenye nia am PM
 
Aiseee babayangu nipo hapa mkuu Rombo vigezo na mashart yako nimekidhi je wewe utakidhi yangu?
 
Preta

Hoja zako mara zote zinaonesha maturity navutiwa nawe Petra
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom