Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Sishangai sana kwa kizazi hiki cha modenisation anaweza akawa mtu poa tu ameona atengeneze kapu kubwa na aweze kuwafanyia prunning ili apate the best msiooa fursa hiyo.Ila namshauri akiamua kula nguruwe ale alionona aingie kwenye mitandao ya wanaotafuta wenza ipo mingi tu aweke picha yake e-mail namba ya simu wasifu wake na anapendelea mtu wa tabia zipi