Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa.

Asiwe mlevi,asivute sigara,asiwe mgomvi wala mkorofi,sichagui kabila,ila dini ningependa awe mkristo wa dhehebu lolote,tafadhali sihitaji masikhara wala kebehi,mambo yote yawe katika private sms.asiyehusika please naomba apite.

N.b:kupima hiv ni muhimu sana.
kuna kitu umesahau
mjebele unahitaji wa futi ngapi?
Au kibamiiaah
 
😄😄😄 njoo inbox mapema sasa hivi
 
ungeweka na picha yako tukuone,ila napita tu mana mimi sina vigezo
 
Bi dada hebu kuwa siriazi kidogo

Hivi sikuhizi wanaume imekuwa kama unatafuta bidhaa?? yaani unaweka vigezo viiingi ambavyo haviendani kabisa. hebu angalia combination ya vigezo vyako; asiwe mlevi wala mvuta sigara-hapa ni ngumu basi atakuwa na hobby nyingine nayo inaweza kuwa mbaya zaidi

Msitufanye kama robot vile unaweza kuiprogram na kuwa kama unavyotaka.

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom