Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
.....anatafuta matatizo huyo
...nilikuwepo kwenye mbio za km 5 za tigo ...
Bebii si unaona nilishinda km 42......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....anatafuta matatizo huyo
...nilikuwepo kwenye mbio za km 5 za tigo ...
Maisha magumu mpaka watu wanawaza kuolewa as an alternative way ya kupunguza ukali...mimi nina miaka 41 unqualified for the position
MEANDU
Aha ha ha ha!! Usimkatishe tamaa mwenzio. Wanaume wenye sifa hizo wapo wengi tu, mimi ni mmoja wapo ila kikwazo kwangu ni kwamba tayari nishaoa. Naamini tampta mtu ambaye yupo serious na anayetafuta kama yeye.
Aendelee kuomba Mungu pia maana kuna watu wengine wapo stand-by kusubiria loose ball, asije akadondokea katika mikono isiyo salama akaja kuichukuia JF.
Mbona umri wako bado ni wa kutafutwa......?......sidhani kama umefikia kutafuta.......tena mtandaoni.......we piga shughuli.......kuwa nadhifu.......watakutafuta tu wenyewe.......
Mimi sidhani kama maisha magumu ndiyo yamempelekea mleta mada kutangaza nafasi hiyo
Nna jaribu tuu kufikiri labda amekuwa ni mhanga wa mapenzi kwa muda mrefu japo ana age hiyo ambayo sio kubwa na kuwa desparate to that extent
Au labda hana exposure kubwa katika kukutana na wanaume anaodhani ni wamaana
Au amegive up kwenye swala la mahusiano anachotaka ni ndoa tuu maana upendo hauanzi tuu vuup!ghafla unaweza yeye ndiye anajua sababu
Aanaweza akaextend mpaka 41
Wacha a-extend. Litakuwa jambo la kheri sana...mke wa tatu huyo nitaoa, sema yeye nitampa cheo...ka age kamoja tu akaonee huruma