Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Nahitaji mwanaume wa kunioa, awe na nia ya dhati na mapenzi ya kweli

Onyo: Usituvalie tu vinguo vya kutushawishi mf. vibana mwili wengine hatupendi.
 
Preta

Kwa nini asubiri kutafutwa? au ili apate anayekuja tuu..? akitafuta atapata anayemtaka yeye...ina mpa power ya kuchagua
 
Last edited by a moderator:
mkuu Preta hyo kutakuwa na kasoro tu co bule umri wake wa kutafutwa yy anatafuta,ukiona hvyo hata kitaaani kuitw na vi matured boy ni shida

Mbona wewe ulitafuta mke hapa au nawe ni mbovu pia? Acha unafiq.

Cc Tyta
 
Last edited by a moderator:
una haraka tutapata wasiwasi. umevurugwa sana. mitandao initudanganya sana. subir utafutwe

Kwa nini asubiri atafutwe...kwani akitafuta inakuwa hadithi mbaya sana..?
 
Memwanaume wa hizo sifa ni Yesu peke yake...Kama upo serious punguza vigezo na uombe Mungu akupe mwanamme utakayeweza kuhimili tabia zake na mtabadilishana taratiibu chumbani! Nakutakia msako mwema.
 
Mimi nina sifa zote,nakunywa ila si mlevi.destri yangu kila wekend siku ya j'mosi lazima nisitue 1 mwisho 2.
 
Daaah 25 yrs! Mbona too soon! Huku tumezoea wanakuja waliokata tamaa, 30 yrs +
 
kwa nini asubiri kutafutwa...? au ili apate anayekuja tuu..? akitafuta atapata anayemtaka yeye...ina mpa power ya kuchagua

Hulka ya kike ni kutafutwa........sio kutafuta......uliona wapi ua linatafuta nyuki........?
 
Hulka ya kike ni kutafutwa........sio kutafuta......uliona wapi ua linatafuta nyuki........?
Maisha yameanza kubadilika sana, siku hizi wanawke wajanja na wanaojitambua wanafutata wao...ila wapate wau wa machguo yao...sio kusubiri wao kuchaguliwa tu..maana inawafanya sa nyngine wapate vimeo na kuacha watu wenye sifa wanazozitaka wakiwapita..
 
Ngoja nijaribu bahati yangu vigezo vyote hivyo ninavyo
 
Back
Top Bottom